Hata Makundi hufiki weweMalengo ya Yanga ni kufika nusu final cafcl na kuchukua vikombe vya ndani vyote na hayo yatatimia bila shida
😂Kumbe tuko wapi hapa tulipoHata Makundi hufiki wewe
Imean makundi huvuki kwenda robo.😂Kumbe tuko wapi hapa tulipo
Dah umenikumbusha swagger za shemeji Yako maana yanga anacheza na tp Mazembe ye anauliza hii team mpya!?
Aaah basi sawa ila tutavuka hesabu bado ziko upande wetu sema tulipoteana pale mwanzo ila usijali tulia uangalie showImean makundi huvuki kwenda robo.
Mahesebu magumu sana kaka,sababu Mazembe amfunge MC algers alafu Yanga amfunge MC algers na Al ahalAaah basi sawa ila tutavuka hesabu bado ziko upande wetu sema tulipoteana pale mwanzo ila usijali tulia uangalie show
No mahesabu Yako hivi "Yanga ashinde mechi zake zote"ni hivyo Wala hakuna hesabu za nani amfunge nani ni yanga kushinda na tulianza na Mazembe tutamaliza na MC AlgerMahesebu magumu sana kaka,sababu Mazembe amfunge MC algers alafu Yanga amfunge MC algers na Al ahal
Kwamba hao wenyewe hawahitaji ushindi?No mahesabu Yako hivi "Yanga ashinde mechi zake zote"ni hivyo Wala hakuna hesabu za nani amfunge nani ni yanga kushinda na tulianza na Mazembe tutamaliza na MC Alger
Umemaliza vizuri "kazi kwetu"na hii kazi ndio inatunyima usingizi mi na viongozi wenzanguKwamba hao wenyewe hawahitaji ushindi?
Wakati mnapiga hizo hesabu wenzenu nao wanapiga hesabu hizohizo.Kazi kwenu mkuu.
Hapo Sawa sasa MC Alger afungweNo mahesabu Yako hivi "Yanga ashinde mechi zake zote"ni hivyo Wala hakuna hesabu za nani amfunge nani ni yanga kushinda na tulianza na Mazembe tutamaliza na MC Alger
Imean makundi huvuki kwenda robo.
Yani huyu kwanza atakutana na full house Moja mbaya pale kwa Mkapa plus figisu za kutosha ni aamue kuwahi au kuchelewa ila atakula 5-0Hapo Sawa sasa MC Alger afungwe
Wacha tuone mzeeeYani huyu kwanza atakutana na full house Moja mbaya pale kwa Mkapa plus figisu za kutosha ni aamue kuwahi au kuchelewa ila atakula 5-0
Wazee WA MAGAZIJUTO🤓🤓🤓Wazee wa kuvizia wanyama wakali waue kisha wao wale mizoga kwa sasa endeleeni kununua betri kwa ajili ya vikokotozi vyenu maana hesabu ni ngumu sana kwenu.
Mwakarobo hapa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Yanga hii hii ikupe full house katika mechi ngumu na isiyotabirika kama hiyo ya SM Algier? Juzi kwa Mazembe, mechi muhimu lakini walau ilikuwa na matumaini zaidi kama ile mlikuwa wangapi uwanjani?Yani huyu kwanza atakutana na full house Moja mbaya pale kwa Mkapa plus figisu za kutosha ni aamue kuwahi au kuchelewa ila atakula 5-0
Wazee wa kuvizia wanyama wakali waue kisha wao wale mizoga kwa sasa endeleeni kununua betri kwa ajili ya vikokotozi vyenu maana hesabu ni ngumu sana kwenu.
Mwakarobo hapa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app