Wamelishwa matango pori hao. Sijawahi kusikia hayo wanayoyasema. Muda si mrefu wataingiza akili tu.Hawa wazee wanajitambua.
Zela moke!! Nkendé kuna!Nzambe nzambe esalisa ngai bato na ngai babina!
Hawa ndio SPIKA aliowaambia wasiogope atawatetea!!! Hawatafukuzwa bungeni wala nini watakingiwa kifua na SPIKA! Ndio maana LHRC wanataka wamshtaki SPIKA kwa kuvunja katiba waziwazi.Kuna mshahara wa wiki mbili?. Ndiyo maana biblia inasema heri kijana Mwenye hekima.
Huyo mzee lazima ameshakunja chake cha kitochi ukiitishwa uchaguzi anachagua CHADEMA. Hao wazee wa Kichagga ni shida sana. Wao wanaangalia mpunga tu. Hapo Mbowe akienda na risala yake ya kuisema serikali makosa yake akawapa mpunga wanasoma kiroho safi kama siyo wao vile waliokunja mpunga wa DC MmasaiHawa wazee wanajitambua.
Duh kumbe Mbowe atawapa mpunga?Huyo mzee lazima ameshakunja chake cha kitochi ukiitishwa uchaguzi anachagua CHADEMA. Hao wazee wa Kichagga ni shida sana. Wao wanaangalia mpunga tu. Hapo Mbowe akienda na risala yake ya kuisema serikali makosa yake akawapa mpunga wanasoma kiroho safi kama siyo wao vile waliokunja mpunga wa DC Mmasai
Wewe mburura kweli nani ajaanike huko You TubePitieni na comments hapo YouTube za hio video ndo mtajua wananchi wana hasira na mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani huko machame hakuna wazee Wa ccm hata kura za ubunge kwani mbowe alipata kura zote? Hapana hao ni makada Wa ccmNilishasema CHADEMA imebaki JF tu. Siku za nyuma hakuna mtu alitegemea haya kutokea
Hapo itakuwa hasara ya nani? Kwani nani asiyejua hilo? Kwani ni lazima chadema iwe na mbunge? wa nini wakati hata wakitoa mawazo yao hawasikilizwi?Mbowe anakula ruzuku mwisho October
Baada ya hapo arudi kwenye udj, hatakuwa na mbunge hata mmoja
Amepewa shilingi ngapi kwani huyu mzee? Halafu mbona namfahamu huyu bwashee ni kada mkongwe wa CCM. Tangu lini CCM ikampenda Mbowe?Hawa wazee wanajitambua.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Mbavu zangu jamani.........yes yes of course people use to die zea......