Wazee wa kimachame wamcharukia Mbowe

Nawafahamu sana wazee wa Ki-Machame. On their dead bodies hawawezi kusema maneno yale dhidi ya Mbowe. Hicho ni kikundi kimelishwa maneno na hela ya mbege ili vikaropoke. Mbowe ma familia wana heshima sana iliyojengeka historia. Hawawezi kufanya huo ujinga
 
Nimeamini maccm hayana akili.mbinu za 1997 kurudi nyuma wanatumia kipindi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…