Wazee wa KIU ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe tukutane hapa

Wazee wa KIU ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe tukutane hapa

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
495
Reaction score
775
Nakumbuka enzi hizo Ukiwa na mashauzi au mnoko unapigiwa KIU hiyo nyakati za usiku mpaka utajuta kwenda MU.

Kama ulishawahi pitia MU tujikumbushe na KIU uliyowahi sikia ikipigwa nyakati za usiku ama mchana.

Mimi nakumbuka ya profesa mmoja alikuwa akisoma SUA nasikia akafeli. KIU ilipigwa mchana kweupe wakati prof akisimamia mtihani.

Sauti ilisikika kupitia kwenye spika ikisema Fulani kula vichwa hao wanafunzi coz wanasema umedisco uprof SUA.

Kula vichwa hao, kula vichwa hao.
 
Back
Top Bottom