Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Over 7.5
Hapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap au tuweke Most goals second half pia nikitazama sioni draw hapa
Both teams to score second half & no substitute player to scoreHuu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap au tuweke Most goals second half pia nikitazama sioni draw hapa
HII BILA SHAKS INA ODDS ZA KUSHIBAHapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.
Au pia twaweza kuweka HT/FT > 2/1, Yaan first half washinde kina Nape sababu ndo wanaotrend kwa sasa na audio zao kisha second half waje washinde kina Jiwe sababu wao ndo wenye kisu 2020.
UMEUWA BABA HII ODDS ZAKE 15.4GG&over 4.5
UNAMAANISH 1/1 KATKA HT/FTMwenye kisu ndio anakula nyama, Chato imeisha shinda.
asante mkuu umejibu kitaalamu sanaaa...Hapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.
Au pia twaweza kuweka HT/FT > 2/1, Yaan first half washinde kina Nape sababu ndo wanaotrend kwa sasa na audio zao kisha second half waje washinde kina Jiwe sababu wao ndo wenye kisu 2020.