Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Majibu ya kura yanatangazwa muda wowote kuanzia sasa, baada ya zoezi kufanyika usiku kucha.
Wale wazee wa kuomba ban mko wapi? Mbona hatuwaoni, hamuamini team zenu kabisa? Ombeni basi tuwaite mods muda ukifika
.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Team Mbowe na Lissu kweli mnashindwa mapenzi na akina Uto na Makolo? Nabubujikwa na machozi ya uchungu

Wapi Retired Lucas Mwashambwa? Mlikuwa mnatuigizia? Erythrocyte na Mshana Jr je?🌚🌚
Majibu ya kura yanatangazwa muda wowote kuanzia sasa, baada ya zoezi kufanyika usiku kucha.
Wale wazee wa kuomba ban mko wapi? Mbona hatuwaoni, hamuamini team zenu kabisa? Ombeni basi tuwaite mods muda ukifika
.Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%