Usikute mwamba alikua anajua kabisa kwamba hatashinda, yeye mwenyewe alikua kachoka BUT akaona apige mpunga wa maana kutoka Yanga sports, mzigo wa mwisho, mission ime tick, kapiga pesa na kapata alicho kua anakitaka. Viva Mbowe, mwamba kutoka Machame