......Kama kuna mdau anatumia kampuni hii ya GAL SPORTS BETTING..... Hawa jamaaa Nawaona wanazingua Sana, Ukitaka kutoa pesa wanasema System Inasumbua, ila kuweka pesa au Kucheza na kuliwa Hapa System Haina Tatizo.
#Hapa wadau Kama kuna Aliyejiunga na hii Kampuni Aje Hapa Tushare Mawazo please