Wazee wa kukesha a.k.a.popo tujuzane pande tulipo.

Nipo hapa forodhan zanzibar tunakula upepo wa bahari
 
Binafsi naitafuta Sekenke naelekea zangu Musoma na mashine aina ya Prado TX.

Pande zipi popo wenzangu mpo wakati huu?

Tunakushukuru kwa ' Kuturingishia ' Sisi wasukuma Mikokoteni kuwa unamiliki Gari aina ya Prado TX iliyotukuka kabisa.
 
nipo zangu nje naota jua maana mvua inanyesha kweli,safari njema
 
Pande za jiji la kolomije hapa kitongoji cha darasalama nasubiria msosi baada ya safari ndefu ya Mwanza DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…