Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa....

Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha sangara Qumani..

Zingatia aina za uchafu wa K kabla ya kupiga deki

 
Hata k ukiiona safi vipi bado ina bacteria wanaotakiwa kubaki huko huko ukeni, ukiwahamishia tu kwenye pH nyingine kama kinywani au kooni basi tatizo linaanza
Yes mkuu vagina ina normal flora wengi wanao sustain kuishi maeneo hayo bila effect yeyote

Kuwabadilishia mazingira kwa kunyonya ni kujitafutia matatizo tu
 
Shida ya waafrica circle ni kubwa mno
Waafrika oral sex waaachieni wenzetu wanaoweza kukaa na mwanamke/mwanaume 1
Nje ya hapo ht huyo mwanamke awe msafi km mwanaume anatumbukiza kila mahali haina maana

Pia bacteria wa kwenye mdomo kuwapeleka huko si sawa
Vice versa is true

Ila kuna wanaume mafundi
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Unakuta mtu mmoja kalalwa / kalala na watu karibu fuso nzima๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ