Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

Mambo ya Walawi 18 : 1-30
 
Utamaduni wa kigeni umeleta tabia hii kupitia filamu za utupu, kumbuka picha huadhiri sana ubongo kwa namna ya kufikiri na baadae huwa tabia ni kama vile unaona picha ya tangazo fulani alafu ukawa mteja wa bidhaa au service hiyo.
Hivyo hivyo kwa uangaliaji wa filamu hizo hujenga tabia hizo ambazo hatukua nazo kabla. Na tabia hizo ni purposely ili kuuza dawa baadae zinazoenezwa na tabia hizo (Infection diseases; fungus, acid, etc).
Hivyo ni vizuri kuchukua taadhari kwenye maudhui hayo kwakua mara nyingi hutolewa bure kwa baadhi ya sites ila kimsingi sio bure bali wewe mtazamaji ndio biadha yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…