Wazee wa kupiga pesa angalieni hapa

alkaida mtoto

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
23
Reaction score
11
maelezo yote nishatoa kwenye jukwaa LA matangazo kule. Apps bado zipo elfu tano mbili ni sure app play store zinauzwa bei mbaya lakini mimi natoa ofa kwa msimu huu wa sikukuu.. Ni sure betting app zinatoa sure Ods nimeambatanisha picha za apps nilizonazo na mirejesho ya wateja wangu baada ya kununua apps.. Mawasiliano zaid njoo pm
 

Attachments

  • 15441852759909579.jpg
    10.5 KB · Views: 106
  • 5441853087728233.jpg
    13.3 KB · Views: 88
  • 15441844541447088.jpg
    15.8 KB · Views: 79
  • IMG_20181208_105841.JPG
    14 KB · Views: 74
  • 15442557534156805.jpg
    17.7 KB · Views: 76
  • _15442557016983447.jpg
    14.5 KB · Views: 62
  • 15441853728389675.jpg
    15.2 KB · Views: 65
  • 15441851716534753.jpg
    14.5 KB · Views: 77
  • 15441848950102144.jpg
    17.8 KB · Views: 62
Yani nitoe laki 394 kisa betting [emoji848] [emoji848]
 
Broo nenda kwa wazee wakuweka mikeka uwapostie na wao
Pia embu nisanua wew odds hizo unachukua kwa shi ngapi?
 
Hakuna cha sure bet ka ni ivyo mwambie mzee wako auze nyumba pesa yake ubetie upate mara mbili au tatu ya iyo alaf umrudishie mzee wako ela yake si ni sure odds...kubet ni bahati juzi Chelsea kapigwa na Wolves mikeka imechanika.
hahahahahaah app inauzwa laki tatu afu stake anaweka 500? pumbav kabisa
 
ngoja nikuwahi pm fasta mana nakumbuka kuna jamaa alikuwa nazo akaniambia nimpe 35 kwa app moja
 
Hakuna cha sure bet ka ni ivyo mwambie mzee wako auze nyumba pesa yake ubetie upate mara mbili au tatu ya iyo alaf umrudishie mzee wako ela yake si ni sure odds...kubet ni bahati juzi Chelsea kapigwa na Wolves mikeka imechanika.
Asante kwa changamoto karibu pm
 
MREJESHO
Kwa wale ambao mshakuja pm tayari na tumefanya biashara tafadhali kama kuna mtu yoyote nimemfanyia ndivyo sivyo naomba aje hapa atoe maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…