Wazee wa kuzika wapo standby!

Chama kitakufa kifo cha aibu endapo mwamba atagombea na kushinda. Countdown uchaguzi mkuu unakaribia kisitarajie kupata wabunge wengi bwerere. Chama cha mtu binafsi nani atakichagua?
 
Hii inamaanisha ccm imeandaa makaburi ya kuwazika inaowateka kama mzee kibao na sativa.hatari sana hiki chama Cha kigaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…