Wazee wa Machame kuja kula Christmas na Mwaka mpya Dar es Salaam na kijana wao Freeman Mbowe

Wazee wa Machame kuja kula Christmas na Mwaka mpya Dar es Salaam na kijana wao Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baadhi ya wazee wa Machame na wengine kutokea Boma ng'ombe watakuwepo Dar es salaam wakati wa Christmas na Mwaka mpya kwa kile walichodai kuwa ni kula sikukuu na kijana wao ambaye kwa mwaka wa pili mfululizo anaweza kuwa bado yuko gerezani

Taarifa rasmi itawajia.

Kunywa mtori nyama utazikuta chini.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Kuwatembelea wafungwa ni moja ya matendo ya huruma yanayoaelekezwa kwenye vitabu vya dini. Hao wazee wakifanya hivyo kiroho watabarikiwa ila wakifanya kisiasa wataadhibiwa kisiasa.
 
Mama kasema hataki uongozi wa madhambi, wateule Hilo Gari bovu mtueni Mama haraka kabla Tarehe 14 Dec 2021.
 
Mizimu itawanyima pesa watt wao mwaka ujao [emoji28][emoji28][emoji28],kutambika muhimu mkuu!
 
Baadhi ya wazee wa Machame na wengine kutokea Boma ng'ombe watakuwepo Dar es salaam wakati wa Christmas na Mwaka mpya kwa kile walichodai kuwa ni kula sikukuu na kijana wao ambaye kwa mwaka wa pili mfululizo anaweza kuwa bado yuko gerezani

Taarifa rasmi itawajia.

Kunywa mtori nyama utazikuta chin
i.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Nyama siku hizi tunaziibuaga huko chini na kijiko, hatusubiri mtori uishe!
 
Mbowe anazidi kuwa star akiwa gerezani, attention yote bado ipo kwake mpaka nje ya mipaka ya nchi wanamfuatilia habari zake.
 
Kuwatembelea wafungwa ni moja ya matendo ya huruma yanayoaelekezwa kwenye vitabu vya dini. Hao wazee wakifanya hivyo kiroho watabarikiwa ila wakifanya kisiasa wataadhibiwa kisiasa.
Sidhani kama intelijensia ya jeshi la magereza litaearuhusu. Kisingizio namba moja kikiwa ni omicron variant.
 
Back
Top Bottom