johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda wana hamu ya kushuhudia flyover ya ubungo!Pana watu si wachache wanaamini kuwa mwamba anabambikiwa kesi.
Habari ndiyo hiyo.
Labda wana hamu ya kushuhudia flyover ya ubungo!
Nyama siku hizi tunaziibuaga huko chini na kijiko, hatusubiri mtori uishe!Baadhi ya wazee wa Machame na wengine kutokea Boma ng'ombe watakuwepo Dar es salaam wakati wa Christmas na Mwaka mpya kwa kile walichodai kuwa ni kula sikukuu na kijana wao ambaye kwa mwaka wa pili mfululizo anaweza kuwa bado yuko gerezani
Taarifa rasmi itawajia.
Kunywa mtori nyama utazikuta chini.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Sidhani kama intelijensia ya jeshi la magereza litaearuhusu. Kisingizio namba moja kikiwa ni omicron variant.Kuwatembelea wafungwa ni moja ya matendo ya huruma yanayoaelekezwa kwenye vitabu vya dini. Hao wazee wakifanya hivyo kiroho watabarikiwa ila wakifanya kisiasa wataadhibiwa kisiasa.