Wazee wa mayai ya Kwale mpo wapi siku hizi?

Wazee wa mayai ya Kwale mpo wapi siku hizi?

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
747
Reaction score
1,404
Wale wafugaji wa kware na mayai yake bado mpo? Mmekaa kimya siku hizi hatusikii mkileta mada za kuhubiri manufaa ya mayai ya kware.

Au ndio tayari motivation spika wameshawapiga na kitu kizito?

Gudimoningi motivational spika
 
Kitu chochote ukisema kinaongeza nguvu za kiume kitagombaniwa sana na Waafrica, wengine hata hawana tatizo, wanataka tu kubust.
 
Nchi hii kila Kitu ni Dawa. SASA Yai la kwale Lina Tofauti gani na la Kuku wa kienyeji zaidi ya umbo?
 
Nchi hii kila Kitu ni Dawa. SASA Yai la kwale Lina Tofauti gani na la Kuku wa kienyeji zaidi ya umbo?
Really ?!!!!

Huko unakoelekea utasema hata la mwanadamu au samaki ni kama la ndege sababu yote ni mayai....

Riboflavin61% of the DV32% of the DV
Vitamin B1266% of the DV43% of the DV
Iron20% of the DV9% of the DV
 
Na mbegu za mlonge wako wapi?
Mafuta ya ubuyu,?
 
Wale wafugaji wa kware na mayai yake bado mpo? Mmekaa kimya siku hizi hatusikii mkileta mada za kuhubiri manufaa ya mayai ya kware.

Au ndio tayari motivation spika wameshawapiga na kitu kizito?

Gudimoningi motivational spika
Imegundulika yanapunguza nguvu za kiume na kuongeza nguvu za kike, can you imagine
 
Back
Top Bottom