Wazee wa mikeka

Palepale kwenye option hiyo uk click kuna mahala panalangi nyeusi wameandika kwa mandishi meupe "How to bet" ukisoma utaelewa.
 
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini
 
Before you play any betting game, just know that THE HOUSE ALWAYS WINS.
 
Hii thread ya nini sasa. Mbona kuna uzi maalum kwa ajili ya wanaofanya bet? Nenda kule sports uzi upo.
 
Acha utani
 
Kama ni mpenzi wa soccer [emoji460], karibu tupeane updates za ligi mbali mbali kama vile VPL, EPL, LA LIGA, UEFA, N.K<br /><br />FOOTBALL FANS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…