MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu, inasemwa na baadhi ya wajukuu wa watu waliopo kwenye picha hiyo kuwa Babu zao walimchangia mwalimu hela ya matumizi wakati wa safari zake UN.