Uzuri mingi imeunga ungana, jiografia matata ya nchi yetu. Ukienda Mtwara kwa barabara utokeapo Dar utaanzia Lindi kisha ndio Mtwara. Vivyo hivyo Songwe na Mbeya zimeshikana kabisa so ni rahisi kufika sehemu ya pili uwapo ktk mmojawapo. Kila la heri 'Kasie Matata'Okay hivyo Pemba ndo bado sijafika, ntamtafuta yakheee afanye wepesi [emoji28].
Yeah mikoa 10 parefuu, Mungu azidi kunipa uhai na uzima, najitunza vyema niimalize yote.
Kovido ikiisha narudi kupasua anga [emoji4].
Uzuri mingi imeunga ungana, jiografia matata ya nchi yetu. Ukienda Mtwara kwa barabara utokeapo Dar utaanzia Lindi kisha ndio Mtwara. Vivyo hivyo Songwe na Mbeya zimeshikana kabisa so ni rahisi kufika sehemu ya pili uwapo ktk mmojawapo. Kila la heri 'Kasie Matata'
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kisiwa cha Mafia ni wilaya ndani ya mkoa wa Pwani.Asante, hiyo pia imenisaidia kufika Shinyanga wakati naelekea Tabora kutokea Mwanza. Dodoma nimelala nikielekea Singida hii inafanya viunga vya mikoa hiyo bado siifahamu.
Napenda sana kusafiri basi tuu majukumu na muda umefinywa sana.
Naomba usinichoke, hivi Mafia iko mkoa gani? Nako sijafika.
Shukrani mkuu ishaishaUwe na safari njema kiongozi......ongeza umakini
Kisiwa cha Mafia ni wilaya ndani ya mkoa wa Pwani.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kweli umechoka, ungekuwa unawakata watu sahizi segera huko unarudi.Yaani leo ushakata mikoa miwili wakati mimi hata getini kwangu sijatoka!
Kigulu na njia! Ulikula miguu ya kuku sana utotoni
I hope hii long weekend itanipa nguvu ya kumalizia mwaka!
Inaisha mkuu.Nchi kubwa hii huwezi kuimaliza
Hii ni umefika au hujafika?Rukwa (Sumbawanga iko humo)
Katavi (Mpanda iko humo)
Mara (Musoma iko ndani)
Ruvuma (Songea iko ndani)
Njombe
Iringa
Mtwara
Lindi
Kagera (Bukoba iko humo)
Tanga
Kilimanjaro
Morogoro
Shinyanga
Kigoma
Tabora
Arusha
Dodoma
Manyara
Singida
Mbeya
Songwe
Mwanza
Simiyu
Geita
Unguja**
Pemba**
Dar
Pwani
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kazi ipo. Wacha nikusanye nguvu.Aaahahahahahhaaa
Umesahau ulikuwa unaniletea hiyo na mihogo halafu tunaenda kujificha nyuma ya duka la baba Taibali kisha tunakulaa tukishiba tunashushia na sanvita 😅😅😅.
Tena wewe miguu ya kuku ndo imekukolea hadi umeanzisha uzi kabisa wa road trip 😜😜.
Ila sio siri hapa nabishana na nafsi niingie jikoni kisha nimalizie usiku kwenye sofa au niingie chumbani nitupie kisha nijidelive lokesheni 🤔🤔🤔
Ana ana ana doo
Kachanika bastoo
Ispiringi .......
Kaajaaam*** ushu * unanukaa
Tena saanaaa
Sanaa kabisaaa
Na aeendee
Choonii
Kuchukuaaa
Kopo lakeee
La kunawiaaaaa....
Nshapata uelekeo 😜😜
Hiyo ni orodha ya mikoa yote Tanzania Bara plus Unguja na Pemba. Dar na Pwani not includedHii ni umefika au hujafika?
I hope hii long weekend itanipa nguvu ya kumalizia mwaka!
Kazi ipo. Wacha nikusanye nguvu.
Nataka nifanyie juhudi za makusudi nipandishe Dodoma,Singida,Babati,Arusha. Hii inafaa December Insha AllahAll the best double R.
May you regain all your energy and stamina
Back to the trips.....
With crisp and chips
And all the Matata’s by the side 😜.
Jumaa Mubarak bin Eid.
Ahahaaahahahahahaaa Baba Taibali
Jiko lina nguvu hatariii....😅😅