Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh kwani wenyewe wanakuwaga hawana hizo Chuma mkuu
 
Una cha moto alafu unaogopa ogopa tena ? natembeaga maporini kabisa usiku mkali alafu nakuwa mwenyewe tu
 
Una cha moto alafu unaogopa ogopa tena ? natembeaga maporini kabisa usiku mkali alafu nakuwa mwenyewe tu
Aaaaaah issue huwa ni timing tu mkuu, alafu kawaida kabla haujaamua kushambulia ni lazima ujue idadi ya maadui na wamejipangaje.

Unaweza ukawa na bastola afu wahuni wakawa na SMG na akawa sehemu ambayo labda si visible kwako ,ukajikuta unakula chuma sehemu ambayo ungeweza kuganya nao negotiation ya kawaida kabisa.

Chuma huwa tunatumia pale ambapo unaona kabisa uwezekano wa wewe kuopona haupo ( ile situation ambayo hata uwape nini ni lazima wakuue).Pale mimi niliamua kushambulia bila kujali yote hayo ili kujichukulia point kwa mama watoto wangu😅.Mpaka leo mke wangu huwa ananikumbusha hilo tukio.
 
Duh kwani wenyewe wanakuwaga hawana hizo Chuma mkuu
Inategemea na walivyojipanga mkuu, kuna makundi mengine utakuta yana china za kutosha, na kuna wale wengine utakuta hawana chuma wana silaha za kawaida tu Ila wanakuwa ni wengi.Na mara nyingi Hawa huvizia zaidi maroli badala ya gari ndogo ndomaana wanatega magogo usiku sana, maana kwenye malori ni mara change sana kukuta wamejihami na huwa wanatembea usiku sana.
 
Anakuona kama Komando Rambo 😀😀
 
Maisha ndiyo yanatulazimisha kutembea usiku. Binafsi napenda kusafiri usiku ili asubuhi inikute nshafika mahali na kazi iendelee plus kunipunguzia gharama za lodging.
Huyo jamaa ungembariki chuma ya goti ili akajifunze kulima badala ya kuteka.
 
Hata mimi baadae niliwaza hivyo, kwamba kwanini sikumpa hata ya mguu?

Ila kufyatua ndio ilikuwa option bora zaidi kiusalama,maana uke mlio unawafanya hata wale wezi wengi ambao walikuwa kwenye nagari mengine kukimbia kulikoni kuanza kuwalenga mmojammoja.

Ile paah paaah, faster tu jamaa wakakimbilia pembezoni mwa barabara kwenye mapori. Hapo nilikuwa natetemeka na moyo unaenda mbio,nawaza labda watarudi kutufanyia ambush😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…