Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu kagari kangu nauza haka amkaoni au mniungishe basi nauza bei nzuri sana. Muwachukulie mabebez wenu hata kwa road trip kanafaa sana jaman.

Make; Mazda Verisa
Year ; 2010
Engine : 1498
Gear ; Automatic
Wheel drive; 2 Wheel drive
Colour ; White
Odo ; Low milleage

Exchange deal allowed.
Imported From japan.

Price ; 11.5with registration, neg.


Simu na whatsap 0677210276 au 0763 950219

Mukuje basi wakuu karibuni
 
Kagari cha mwaka wa juu jaman mambo ya kutembelea gari ya mwaka 1999 tuyaache jaman sahv tutembelee gari za kipindi cha utawala wa J.K walau jaman wengine mpaka leo wako na magari ya utawala wa Mkapa na Mwinyi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…