Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji3] ni hatari da Mkuu Jana nimekutana na lile dude la mzee wetu mabeyo aisee [emoji119][emoji119][emoji119] linatisha alafu ni vxr
VXR acha kabisaa mzee, inakichafuaa hatari mzee .. wenye nazo salute kubwa sanaa.. LX300 VXR kiatu cha maana una vimulimuli ni mwendo 200 nimeshuka 170 hadi 240 nakuwa nachezea humu tuu kidogo nimeshuka 150-120 nakuwa naisaka wastani 170-200 tu
 
Daah kinachoniua ni Ile sound aisee Kuna Moja nilikutana nayo juzi sema nikikuwa kwenye pikipik sikutamani iniache distance kubwa niendelee kuitazama na niisogelee nyuma niskie Ile sound yake anapolikanyaga akipanda bumps.[emoji119]
 
Dar sehem gani? Asijekuwa alihesabia kibaha ni dar... Hizi claims hizi ngumu kuziprove unless umefanya mwenyewe
Sasa kama mabasi yaliweza kutumia masaa mawili au mawili kasoro dar-moro V8 inashindwaje kutumia huo muda au chini yake,au na wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini basi ni zaidi ya gari ndogo huku kigezo kikiwa mzunguko wa tairi![emoji23]
 
Umenikumbusha mbali...nimecheka..[emoji23][emoji23]
Kuna mafala walikuwa wanabishana...mmoja anasema gari ndogo ikiwa speed 100 ni sawa na basi liwe spidi 60 au 70 eti kisa basi lina tairi kubwa...[emoji119][emoji119][emoji119]

Wakaeleweshwa kuhusu gear ratios, kwani wanaelewa..?,[emoji1787][emoji1787]
 
Wenye tabia za kushabikia mada kama hii mkuu ni mafundi gereji wao kitest na wakishapigiana stori za vijiweni wanakubali Kuna jamaa yangu huku kisa alipitiaga gereji siku Moja ananiambia scania inatembea kuliko Land cruiser V8 kwa jina maarufu sikutaka kumbishia maana ningetwanga maji[emoji2]
 
Huu ubishi niliukuta pale Udsm madereva wanabisha nikaingilia lkn wapii mwisho nikawaambia hata pikipiki ikiwa spidi 100 na gari itakuwa hivyo hivyo wakabisha [emoji23] ikabidi tuchukue pikipiki na land kruza tukapima wakapata jibu na ubishi ukaisha..
 
Songea napo zipo sana, kesho ntaweka picha nikifika
 
[emoji23][emoji23][emoji23]unatamani uwapige vibao yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…