Wazee wa "road trip" safari yako ilikuaje 2021/22?

Hahahha niliovertake gari iliyobeba afisa usalama Tanzania nzima sehemu isiyo sahihi sasa nadhani kutaka kuonekana kazi inafanyika mbele ya mkuu ikabidi niwekwe kwanza ndani
Duh,mahabusu tena?[emoji3]we utakuwa Mtata sana mutu ya tarime
 
Kusafiri na family n Risk sana aiseeee..huwa napenda kupiga road trip alone ..
 
Dec nilisafiri from Dodoma to Chato, nilitoka Dom saa tisa alfajiri then nikaingia Chato saa nane mchana via kahama. Gari ilikua IST, speed ilikua ni 120km/hr na mara chache nilifika 140km/hr japo ile njia ya Singida polisi wengi sana barabarani hadi kero[emoji23]
 

Safi sana. Lkn sbb ulitoka asbh bila Shaka wengi Walikuwa Hawapo vituoni
 
Umenikumbusha trip nilizokua napiga 2013-15...

Dar-Iringa-Makambako-Mbeya-Sumbawanga-Mpanda then nageuka mpaka Njombe with the same route halafu songea-mbinga-mbamba bay narudia Litui songea then namtumbo-napita milima ile nakamata Tunduru mtamba swala nafika masasi then naibukia tandahimba then mtwara naanza kugeuka mnazi mmoja to Dar es salaam... Total of 5600 km for 2 weeks....

Most of the roads zilikua rough kwa kipindi hicho.

Ingawa mara nyingi nilikua kazini ila nilienjoy
 
Duh. Mziki huyo ulikuwa si wakitoto
 
wakuu Nataka nisafiri kutoka Arusha leo jioni mida ya saa kumi na mbili (usiku) naweza pata usafiri hata gari binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…