kuna siku nilikuwa na miadi ya biashara saa moja usiku...

na mshikaji mmoja hivi....ilikuwa tukutane watuwatatu

tujadili dili la pesa kadhaaa

kufika kwenye hiyo bar,tukamkuta jamaa yupo high high hivi,,

katupokea nje ya bar na anasema tufanye kikao kesho kwani kuna dharura

tulipomuuliza zaidi ndo nikapa stori nzimma nikabaki hoi....

jamaa akatuambia baba yake alikuwa na kawaida ya kupotea nyumbani kila

anapopata mshahara.....na akirudi baada ya wiki hana hata shilingi

sasa siku hiyo ndo siku ya kustaafu na kaambiwa baba yake kashalipwa mafao yake

na mpaka dakika ile hajui baba yake alipo...

so ndo anaingia viwanja kumtafuta,japo amnyanganye pesa kwanza....lol