wazee wa simba waendelee na ligi mapema iwezekanavyo.

Simba imeamua kuwekeza kwa wajinga na walalahoi ili ionekane ni brand kubwa,timu za wajanja kwa kuligundua hilo zimeamua kuwekeza kwa simba ili ziingie kwenye viwango bora vya soka duniani.
Wajinga wanafurahia kushiriki,wajanja wanashinda kimkakati na kubeba makombe.
Timu pekee ya kuweza kushinda makombe ni yanga. Mbumbumbu f.c hamnamo kitu
 
WELL SAID.
 
HUO ni Uzi kweli.

Ama kweli Jamii Forum imeingiliwa jamani

MBAKA SASA Simba ana BILIONI 8.3

Maandalizi ya super League + Robo fainali
Maandalizi BILIONI 5.8 .
Robo fainali BILIONI 2.5.

JUMLA KUU BILIONI = 8.3
 
Kumbe wewe ni mwehu BILLION 8 kutoka kwa nani ???
 
Kitendawili: Nyani (... tena mwenye mwiko nyuma) halioni....?
 
Kumbe wewe ni mwehu BILLION 8 kutoka kwa nani ???

Ni Lazima utumie Lugha za kuudhi????

Huwezi ukauliza kiungwana???

Baki na UPUMBAVU WAKO.

Usimjibu Mpumbavu sawasawa na UPUMBAVU wake usije ukafanana naye.

Mithali 26:4.
 
Simba imeamua kuwekeza kwa wajinga na walalahoi ili ionekane ni brand kubwa,timu za wajanja kwa kuligundua hilo zimeamua kuwekeza kwa simba ili ziingie kwenye viwango bora vya soka duniani.
Wajinga wanafurahia kushiriki,wajanja wanashinda kimkakati na kubeba makombe.
Timu pekee ya kuweza kushinda makombe ni yanga. Mbumbumbu f.c hamnamo kitu
Imeshinda kombe gani sasa yanga since karne ya 19 hadi leo
 
Tatizo lenu li hili👇

download.jpeg
 
HUO ni Uzi kweli.

Ama kweli Jamii Forum imeingiliwa jamani

MBAKA SASA Simba ana BILIONI 8.3

Maandalizi ya super League + Robo fainali
Maandalizi BILIONI 5.8 .
Robo fainali BILIONI 2.5.

JUMLA KUU BILIONI = 8.3

helaa zotee hizoo mbona usajili hamna kitu. au ni za mudy, alafu baadae azijumlishe nakuzitoa nakukata ya uwekezaji, na kuongeza kwenye hasara. Sema mudy anajua kuwaokota mbumbumbu fc.
 
Back
Top Bottom