Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
WELL SAID.Simba imeamua kuwekeza kwa wajinga na walalahoi ili ionekane ni brand kubwa,timu za wajanja kwa kuligundua hilo zimeamua kuwekeza kwa simba ili ziingie kwenye viwango bora vya soka duniani.
Wajinga wanafurahia kushiriki,wajanja wanashinda kimkakati na kubeba makombe.
Timu pekee ya kuweza kushinda makombe ni yanga. Mbumbumbu f.c hamnamo kitu
Kumbe wewe ni mwehu BILLION 8 kutoka kwa nani ???HUO ni Uzi kweli.
Ama kweli Jamii Forum imeingiliwa jamani
MBAKA SASA Simba ana BILIONI 8.3
Maandalizi ya super League + Robo fainali
Maandalizi BILIONI 5.8 .
Robo fainali BILIONI 2.5.
JUMLA KUU BILIONI = 8.3
Kitendawili: Nyani (... tena mwenye mwiko nyuma) halioni....?Simba imeamua kuwekeza kwa wajinga na walalahoi ili ionekane ni brand kubwa,timu za wajanja kwa kuligundua hilo zimeamua kuwekeza kwa simba ili ziingie kwenye viwango bora vya soka duniani.
Wajinga wanafurahia kushiriki,wajanja wanashinda kimkakati na kubeba makombe.
Timu pekee ya kuweza kushinda makombe ni yanga. Mbumbumbu f.c hamnamo kitu
Kumbe wewe ni mwehu BILLION 8 kutoka kwa nani ???
Imeshinda kombe gani sasa yanga since karne ya 19 hadi leoSimba imeamua kuwekeza kwa wajinga na walalahoi ili ionekane ni brand kubwa,timu za wajanja kwa kuligundua hilo zimeamua kuwekeza kwa simba ili ziingie kwenye viwango bora vya soka duniani.
Wajinga wanafurahia kushiriki,wajanja wanashinda kimkakati na kubeba makombe.
Timu pekee ya kuweza kushinda makombe ni yanga. Mbumbumbu f.c hamnamo kitu
HUO ni Uzi kweli.
Ama kweli Jamii Forum imeingiliwa jamani
MBAKA SASA Simba ana BILIONI 8.3
Maandalizi ya super League + Robo fainali
Maandalizi BILIONI 5.8 .
Robo fainali BILIONI 2.5.
JUMLA KUU BILIONI = 8.3