Sasa kwa nini msipe Boxer vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Mahadhi vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Carlinhos vyakula hivyo arudi uwanjani?
Ndo maana nikasema kuwa kupona kwa mchezaji aliyeumia kunategemea sana na umri wake, ubora wa matibabu (hospitali, madaktari, wauguzi, vipimo na mazoezi), diet na mazingira (physical, social, psychological, economical, political and spiritual) yake.
Mfano, Balama aliumia sana lakini sina uhakika na ubora wa matibabu aliyopewa, chakula na mazingira yake. Lakini kama kuumia kule kugempata Mzee mmojawapo wa Simba na kupatiwa matibabu, chakula na mazingira aliyepewa Balama basi mzee huyo angeshatangulia mbele za haki, Inshallah Mungu apishie mbali wazee wetu hawa wasipate majeraha kama ya watoto akina Balama na Mahadhi.