Wazee wa swagga (Pamba) ndani ya 2010

Wazee wa swagga (Pamba) ndani ya 2010

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
ooppsssssssssssss!

Drake-at-15th-annual-GQ-Men-of-the-Year-party.jpg

Drake
Kanye_West_Red_Suit_Gold_Chains_2010_MTV_Music_Awards.jpg

Kanye West
B.o.B-at-MTV-VMAs-2010.jpg

B.O.B
Swizz-Beatz-and-Alicia-Keys-at-GQ-celebration-of-Swizz-Beatz-in-November-Issue.jpg

SWIZZ
Trey-Songz-at-MTV-VMAs-2010.jpg

TREY SONGZ
Chris-Brown.jpg

CHRIS BROWN
Lance-Gross-at-Inaugural-Joy-to-the-World-Fest-Black-Tie-Gala.jpg

LANCE GROSS
Pharrell-Williams-Miami-Apartment-Chanel-Denim-Sunglasses-5.jpg

PHARRELL WILLIAMS
Drake-Visvim-FBT-Shaman-Maxwell-Diemme-Roccia-Vet-boot-.jpg

MAXWELL
Kid-Cudi-Snapshot.jpg


KID CUDI

TI-Bling.jpg

TI (aka Clifford Harris)
 
festiledi wa kwanza ,mambo vp? haya mapicha yako yote mm nimeona hiyo alicia keys tu, najitahidi at least nimdream lakini sjui kwanini anagoma kuja ndotoni kwangu.
 
Du Kanye kanikumbusha mbunge mmoja wa zamani kutoka Dodoma alikuwa anatinga red kuanzia kiatu hadi juu
 
festiledi wa kwanza ,mambo vp? haya mapicha yako yote mm nimeona hiyo alicia keys tu, najitahidi at least nimdream lakini sjui kwanini anagoma kuja ndotoni kwangu.

hhahaha nilijua tu
 
avatar32474_2.gif


RURAL SWAGGA,,,,a.k.a MTOTO WA MBWA,BABA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO, MAMA MPIKA POMBE YA KIENYEJI
 
Hii Swaga overload!! Ameamua kuimba na Bluetooth sikioni!!
we hujui hilo bonge la advatize uswazi?akitoka hapo wachumba bwerere nayeye anawowa tu.4+5+6+7+8+9+,+,+....+.+!
 
nachomzimikia pharell hugonga pamba flani ili uzielewe inabidi umakini kwani huwa zipo simple halafu kali na zinamtoa.....the boss, teflon don rich ross deserves to be there pia na mtoto T.I
 
Back
Top Bottom