Wazee wa Tanzania wamewazidi sana uwezo Wa Kifikra Wazee wa Kenya Lakini Vijana wa Tanzania ni Sifuri mbele ya vijana wa Kenya. Sijajua ni Kwanini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kupata uhakika unaweza kufanya utafiti mdogo tu na utagundua hili

Kwa Sasa Tanzania hasa Bara ni kama vile Vijana Wote walikufa yaani hawaonekani kabisa kama Wapo tofauti na Gen Z hapo Kenya

Jumaa Mubarak 😀
 
Ccm imeua elimu vijana wanaotaka vyuo vikuu na vya kati ila hawajui wafanye nn,wengine wamegeukia uchawa na na wengine kupakatwa na wazee
 
Ccm imeua elimu vijana wanaotaka vyuo vikuu na vya kati ila hawajui wafanye nn,wengine wamegeukia uchawa na na wengine kupakatwa na wazee
Shida sio ccm bali ni vijana wenyewe technology ni jibu la mambo yote je vijana wanatumia mitandao ya kijamii kujikwamua au kupata fikra mpya za kubadili maisha yao kupitia fursa zinazowazunguka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…