colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Habar wakuu..
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nina ka eneo changu kigamboni chenye ukubwa wa urefu mita 14.3, upana mita 9.75 ninataka nijenge vyumba vitatu ,kimoja master , sebule, kijiko , sitting room na choo cha jumuiya na kama itawezekana pia nitaweka na ki dining je itawezekana?
Kama itawezekana...naomba samples za ramani au michanganuo mengine roughly.
Nimeshachoka kupanga nataka nijenge kijumba cha kunistiri.
Nitashkuru sana wakuu kwa michango yenu ...munakaribishwa.