colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Sawa...naomba nijibu hayo maswali ya tathmini kwanza kwamba itawezekana kwa mahitaji yangu kwa hilo eneo au laa halafu ndo uje na ombi la pesa mezaniUpewe sampo? Itawezekana kupewa ukiweka pesa mezani
INAUZWA - Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla Mawasiliano :0678195114 Email: sirajimsilanga55@gmail.comwww.jamiiforums.com
hata-ukiwa-mikoani-tutakufanyia-kazi-yako.1891009/unread Maneno yao lakiniHii ni mwanza mi kigamboni wapi na wapi??
Jenga gorofa na uwanja utabakiSawa...naomba nijibu hayo maswali ya tathmini kwanza kwamba itawezekana kwa mahitaji yangu kwa hilo eneo au laa halafu ndo uje na ombi la pesa mezani
hata-ukiwa-mikoani-tutakufanyia-kazi-yako.1891009/unread Maneno yao lakini
Kwa sasa sina uwezo wa gorofa mkuuJenga gorofa na uwanja utabaki
una ID mbili kumbe moja ya kutoa tangazo nyingine ya kujibia comments, ua umedandia uzi wa watuHii ni mwanza mi kigamboni wapi na wapi??
Huo ndo uwezo wangu kwa sasa...na sitak nikae mbali na mjiUza hapo ununue mahali pengine, uweze kujenga mahali penye nafasi ya kutosha, sasa hapo ukishajenga ukitoka ndani hatua chache uko kwa jirani au barabarani, Nyumba nzuri uwe na uwezo wa kuizunguka wakati unapoifanyia usafi.
Sent using Jamii Forums mobile app