Wazee wa Tiba

Wazee wa Tiba

bichwa72

Member
Joined
May 28, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Hivi kuna uwezekano wa mtu kupangizia uzazi ikiwa unataka mtoto wa kike ama wa kiume au kama unataka watoto ''twins'' pacha! na kama upo uwezekano naomba nifahamishwe.
 
Back
Top Bottom