Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original.
Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni kupeana moyo kuwa toyota bei rahisi wakati mnaua magari.
Siku hizi bora kuagiza spea feki kutoka china kuliko feki ya kutoka vingunguti. Ingia aliexpress agiza bidhaa yako subiri siku 10 ufunge kwenye chuma yako