Wazee wa Travel and lifestyle, Mbuga gani nzuri kwa kutalii bongo

Wazee wa Travel and lifestyle, Mbuga gani nzuri kwa kutalii bongo

Serengeti japo ndio itakuwa ndio the second expensive national park to visit after Mt. Kilimanjaro.

Ukiitembelea hii hifadhi mwezi August - October ni kipindi sahihi na ili ufaidi utamu wa hii hifadhi utapaswa utembelee schemu mbili.
- Central Serengeti, kindindi hicho ni cat's season, ukiwa na siku angalau mbili utaweza kuona familia tofauti tofauti za simba kwa urahisi sana.

- Northen Serengeti, hichi ndicho kipindi ambacho Makundi ya Nyumbu (2.8 millions) and Zebras (2.5 millions) yanavuka mto Mara na mpaka wa nchi kuelekea Masai Mara Kenya. Huu msimu unaitwa River crossing.

Kutokana na ukubwa wa serengeti utahitaji uwe na angalau 4 days/5nights kuifurahia Serengeti.

Kuhusu malazi utakuwa na options za kuchagua pa kulala kwani kuna 5stars hotel/lodges (Grand Melia, Four seasons), Four stars lodges (Serena, Nimali, Spopa), pia kuna Tented camps, kuna Hostel, Public camps nk. Hapo ni wewe na pesa yako tu.
 
Back
Top Bottom