Wazee wa ulabu tukutane hapa tuyajenge kwa kujenga afya zetu kwenye ulabu

Wazee wa ulabu tukutane hapa tuyajenge kwa kujenga afya zetu kwenye ulabu

Sir luta

Senior Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
163
Reaction score
221
Wakuu, salute kwenu.

Kwanza Nina swali: ni kweli beer zinakufanya unenepe?

Pili; tushauriane Pombe salama aina ya spirit ambazo haziumizi sana kichwa au maini.

Mimi nimechoka kunywa beer na hizi spirit za kibongo nataka kubadilisha nipige ipi? Unywaji wangu ni wa wastani sana. Nawasilisha kwenu.
 
Back
Top Bottom