tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Seems like everyone is confused and no one knows who’s confusing whom. What a crazy country we are living in!Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anakomesha uvunjifu wa maadili uliokithiri nchini ikiwemo ujenzi holela wa bar kila Mtaa, nyimbo zinazosifu pombe na ulevi na filamu za Bongo Movies zisizofaa huku pia akisema atawadhibiti wanaotumia mitandao vibaya kwa kumtukana Rais na kupost picha za uchi.
Haji amesema hayo leo wakati akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kufika INEC akiwa ameambatana na Mgombea mwenza wake aitwaye Everylin Munisi kwa ajili ya kuchukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15,2025.
View attachment 3443597
Haji amesema “Nchi imekosa maadili kila mmoja ana ndevu kama kambare, anajiona yeye ni bora kuliko mwenzake, Watu hawana maadili, sheria zipo lakini bar zinajengwa mitaani, vituo vya petrol vinajengwa mitaani wala hawakatazwi, kila mmoja sasa anafanya anavyotaka anaweza akakaa na Mkewe wakagombana kesho akatunga wimbo na ukatua mitandaoni na kwenye vyombo vya habari tena vya Serikali!, ‘sisi ni Walevi tunakesha bar!!’ nyie ni Walevi? na nyimbo hizo zinaimbwa kila siku kwenye vyombo vya habari, Watoto wanarithi nini?, maadili gani hayo?
”“Watu wanaingia Youtube, TikTok mingine sijui nini, unakuta Mtu anatukana, unamtukana Rais?, unatukana Wananchi, maadili gani haya?, nani anataka kukuona wewe si akuone Baba yako na Mama yako?,“Sasa hivi unashindwa kufungua TV kutazama Bongo Movies hauwezi kukaa na Mama yako au Mkwe wako ukaangalia, inabidi kama una nyumba uwe na TV mbili kama hauna uwezo?, Bongo Movies wanaigiza wanavyotaka, wanajiachia wanavyotaka NCCR Mageuzi tutadhibiti hayo”
Seems like everyone is confused and no one knows who’s confusing whom. What a crazy country we are living in!
Ndo hilo nncr- mageuzi wamesema wanaenda kulipigania na kuliondoa kama umewaelewa vizuri. Tafadhali tuwaunge mkono.Seems like everyone is confused and no one knows who’s confusing whom. What a crazy country we are living in!
Vyama Kama sisiemu , Nssr n.k ni vyama vya watu waliojikatia tamaa.Ndo hilo nncr- mageuzi wamesema wanaenda kulipigania na kuliondoa kama umewaelewa vizuri. Tafadhali tuwaunge mkono.
Ndivyo akilizenu chadema zilivyoozeshwa na lissu, sio?!!!!Vyama Kama sisiemu , Nssr n.k ni vyama vya watu waliojikatia tamaa.
Mimi sio CDM Ila nachojua sisiemu ni chama waliojikatia taama na watu wenye akili finyuNdivyo akilizenu chadema zilivyoozeshwa na lissu, sio?!!!!
We jamaa, umemichekesha nikiwa usingizini. Kah!Ndo hilo nncr- mageuzi wamesema wanaenda kulipigania na kuliondoa kama umewaelewa vizuri. Tafadhali tuwaunge mkono.
Kama hajazungumzia kukomesha UTEKAJI NA UTESAJI asijaze hiyo fomu na airudishe haraka.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anakomesha uvunjifu wa maadili uliokithiri nchini ikiwemo ujenzi holela wa bar kila Mtaa, nyimbo zinazosifu pombe na ulevi na filamu za Bongo Movies zisizofaa huku pia akisema atawadhibiti wanaotumia mitandao vibaya kwa kumtukana Rais na kupost picha za uchi.