WAZEE WA VIPENSI YANGA WAMELALA MAPEMA

WAZEE WA VIPENSI YANGA WAMELALA MAPEMA

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Hakika mpira wa Tanzania pasua kichwa.Mbwembwe zote zile za Kocha Zahera kuwa Zesco hawatoki zimeishia droo. Leo jiji lipo kimya Wazee wa vipensi wamelala WAMELALA mapemaaaa.Yanga oyeee.
 
Mbumbumbu bado jinamizi la UD Songo linawasumbua.
 
IMG-20190914-WA0087.jpg
 
Wewe taahira umeona scoreboard ya Norwich City na Man City? Mwenye 62% kapigwa 3! Pumbavuuu
Kwa akili zako za makalioni umeangalia ball possession pekee... Hebu jaribu tusi jingine kubwa zaidi ili niamini mama yako amebarikiwa kuzaa kichaa...
 
Tff imechangia sisi Chura churani kupata matokeo yale, lakini yote kwa yote tumejitahidi sana ilikuwa tuchapwe nyumbani.
 
Back
Top Bottom