Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja. Dambwe lao la Visiga - Madafu limesababisha ajari mbaya kwa wajeda kupamia kichanja ambacho kimedhuru vijana wetu shupavu na kuharibu mali, wamekausha kama hakuna kilichotokea.
Mara nyingi tumesema na tunaendelea kusema Traffic Police wanasimamisha sana magari huku wakijua fika barabara zetu nyembamba na ni hatari ni bora wangeweka vituo maalum vya ukaguzi kupunguza hatari na usumbufu wanao sababisha barabarani. Hakuna haja ya kurudia tulisema nini kuhusu vizuizi vya polisi barabarani, ila Wajeda wametusaidia kwa vitendo japo imegharimu maisha ya watu.
Untouchables leo wameyatimba na Maokoto hakuna na zile sababu zao za ulinzi na usalama leo hawazioni.