Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Shukrani MkuuPambana mwanangu usijali wala nini,utatoboa.
Kama ulikuwa bado hujaanza basi hujachelewa ila wenzio walishaanza kitambo. Unaweza kuwa unapita site unanunua vipande Kwa bei ndogo halafu unaenda kupima Kwenye mzani au unaenda kuuza Kwa wale wanaotengeneza majiko ya kupikia.Wakuu naomba kuuliza hizi bati siku hizi naona zimeandikwa Al-Zn je ni kweli sio chuma Bali ni alloy ya aluminum na zinc na pia ni bei Gani? Kwa kilo kama nikikusanya mabaki yake. Kutoka kwenye site ya ujenziView attachment 2782984
Shukrani Mkuu na wao wananunua Kwa TShs ngapi? Kwa Kilo Kwa kunamna ulivyo waona wao.Kama ulikuwa bado hujaanza basi hujachelewa ila wenzio walishaanza kitambo. Unaweza kuwa unapita site unanunua vipande Kwa bei ndogo halafu unaenda kupima Kwenye mzani au unaenda kuuza Kwa wale wanaotengeneza majiko ya kupikia.
Kweli Mkuu nimejaribu kimenasa sema Kwa ulaini huu inawezakua wamecoat wrought iron.Ni chuma (steel alloy) ambayo ni coated with aluzinc alloy Kwa ajili ya kuzuia corrosion na sparking
Chukua sumaku jaribu kunasisha
Upo wapi ? Na unanunua kwa TShs ngapi?Hiyo ni bati lain Haina soko labda kwa magumashi .Yan uziponde ponde na kuzikunja ziwe ngumu ! Kama una dongo au betri na nunua hata ziwe Tani zote.
Karibu.
Wakuu naomba kuuliza hizi bati siku hizi naona zimeandikwa Al-Zn je ni kweli sio chuma Bali ni alloy ya aluminum na zinc na pia ni bei Gani? Kwa kilo kama nikikusanya mabaki yake. Kutoka kwenye site ya ujenziView attachment 2782984
100-200 kwa kilo kutegemea na eneoUpo wapi ? Na unanunua kwa TShs ngapi?
Nimeuza Leo Kwa 300/= ila wameniambia Nikiyabonda naweza uza hata 500100-200 kwa kilo kutegemea na eneo
Inategemea eneo boss maana wengine wananunua nao wauze kwa faida.Nimeuza Leo Kwa 300/= ila wameniambia Nikiyabonda naweza uza hata 500
Shukrani Mkuu na aluminum ni Tshs ngapi?Inategemea eneo boss maana wengine wananunua nao wauze kwa faida.
Hata copper kuna maeneo waweza uza 13,000 na kwinginepo yaweza fika 16,000