Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mechi ya majuzi juzi ya Simba na Yanga yaelekekea vizee vya Yanga vilipigwa mswaki au havikupata hata senti tano. Matokeo yake wamezua balaa wakiongozwa na mzee gwiji Akilimali, wakidai kilabu kirudishe kwa wanayanga wote kwani kilabu hicho kilisaidia sana kuendesha hata familia zao.
•Je kwa mtindo kweli tutafika? Kumbe vilabu hivi ni source ya income kwa jamii kubwa sana hasa wale wazee wote wanaojazana pale kilabuni kila siku.
•Wengine wanadai kuna interest za kitaifa ndani ya vilabu hivi hivyo baadhi ya vigogo hawafurahii hali hii.