Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wazee wa Yanga Sc wamesema hawautambui mchezo wao na Simba Sc ulipangwa kufanyika Julai 3
Wamesema mchezo wao ulishachezwa Mei 8, kama TFF wanafuata kanuni Simba Sc waporwe alama ili wapewe
Wameyasema hayo leo walipokuwa na mkutano na waandishi wa habari