Kiukweli namshukuru mungu hakunifanya niwe shabiki wa yanga ,yaan hili timu lina watu majuha sana ,hiyo tar8 mechi ilichezwa wapi ,serikali ndio ilisogeza muda mbele kwa sabab zake inazozijua Sasa kwa lugha nyepesi yanga wanatunishiana msuli na serikali ?
Serikali ifanye jambo moja tu nao wakatae uwanja wao wa mkapa na uhuru kutumiwa na yanga ,yanga watafute uwanja wao ,.
Wasipewe ulinzi wowote ule kwenye mechi zao .
Ifike wakat yanga wasijione wapo juu ya serikali ,maana serikali ikiamua kuwakazia wao ndio wataumia ,haiwezekan jambo lilipita lakin wao wamekomalia tu ,tukisema mnaogopa kuingiza timu uwanjan kwa kuhofia kipigo kikubwa tutakuwa tunakosea?
Yanga mnajifanya wajeuri Sasa kwa hili swala nataka nione ujeuri wenu utaishia wap ,hiyo tar3 msilete timu uwanjan ,na hiki ndio kipimo cha tff kutoa maamuz magumu ambayo hayajawah kutokea .tunawasubil hiyo siku msilete timu uwanjan