Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Ishu ya wazee na Yanga ipo serious sana
Hii ni moja ya kurasa za hukumu ya mahakama ambayo inasema-
a) Kwamba, mahakama hii tukufu iombwe kutamka kwamba Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Michezo ya Young Africans ambayo iko chini ya Katiba ya mwaka 2010 haina uwezo wa kisheria wa kusimamia na kuendesha shughuli za Klabu ya Michezo ya Young Africans.
b) Kwamba, Mahakama hii Tukufu iombwe kutamka kwamba shughuli na miamala yote iliyofanywa na wanachama wa Klabu ya Michezo ya Young Africans chini ya bodi ya wadhamini ya Klabu ya Michezo ya Young Africans ambayo iko chini ya Katiba ya mwaka 2010 ni batili na haina nguvu za kisheria.
c) Kwamba, mahakama hii tukufu iombwe kuamuru Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Michezo ya Young Africans chini ya Katiba ya mwaka 1968 kama ilivyorekebishwa mwaka 2011 kuendelea na jukumu lao la kusimamia na kuendesha shughuli za Klabu ya Michezo ya Young Africans.
d) Kwamba, mahakama hii tukufu iombwe kuamuru Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Michezo ya Young Africans chini ya Katiba ya mwaka 1968 kama ilivyorekebishwa mwaka 2011 kuandaa, kuratibu na kuwezesha mkutano wa wanachama wa Klabu ya Michezo ya Young Africans kwa ajili ya uchaguzi wa wanachama wapya wa Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Michezo ya Young Africans.
e) Gharama za kesi
f) Msaada wowote mwingine ambao Mahakama hii Tukufu itaona ni sawa na haki kutoa.