KIM KARDASH JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 5,139 Reaction score 1,147 Jan 4, 2012 #1 Jaribu kucheck vizuri kama kuna mtu utamkumbuka hapa enzi hizo pale vijana kinondoni j2 mchana mpaka.. Zainabu- Jerry Nashon na Vijana Jazz - YouTube#!
Jaribu kucheck vizuri kama kuna mtu utamkumbuka hapa enzi hizo pale vijana kinondoni j2 mchana mpaka.. Zainabu- Jerry Nashon na Vijana Jazz - YouTube#!
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 4, 2012 #2 yeah, mimi namkumbuka kidda waziri juma yule dada (siku hizi mama) mwimbaji, na bendi yao walikuwa wakipiga pia hapo vijana k'ndoni enzi hizoooo
yeah, mimi namkumbuka kidda waziri juma yule dada (siku hizi mama) mwimbaji, na bendi yao walikuwa wakipiga pia hapo vijana k'ndoni enzi hizoooo
KIM KARDASH JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 5,139 Reaction score 1,147 Jan 4, 2012 Thread starter #3 Pamba moto awamu ya kwanza na ya pili..ipi ilikua moto zaidi?