Wazee wenzao wanapewa vyeo wao hata panadol hakunaWazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu.
Imeelezwa kuwa licha Serikali kuagiza uwepo wa dirisha maalum kwa ajili ya Wazee lakini hakuna huduma hiyo hali inayowapa wakati mgumu pindi wanapofika hospitalini kwa kulazimika kupanga foleni kama wahitaji wengine.
Akizungumzia hali hiyo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange ameutaka uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha unaweka dirisha kwa ajili ya Wazee ili kuondoa kero
Chanzo: EATV
wazee wamesahaulika sana Serikali kuu hazina chini ya utawala wa ccm imeshindwa kuwahurumia na kuwalipa mafao yao sembuse hapo hospitali,wazee wanatia huruma wanashinda na vikofia na vikanga vya ccm hawana hata sabuni ya kufuliaWazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu.