Wazee walio anzisha vuguvugu la kudai uhuru Tanganyika

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA KUSAKA UHURU
Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia (Misheni kota) 6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.) 8. Jumbe Tambaza( Upanga ) 9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili) 10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande ) 11. Mshume Kiyate (Tandamti) 12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo ) 13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma) 14. Rajab Simba ( kiungani str.) 15. Waziri Mtonga (Kilosa no. 18 , Ilala) 16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala) 17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo ) 18. Usia Omari (Sungwi ,Kisarawe) 19. Sheh Issa Nasir ( Bagamoyo)
FB_IMG_1674063643778.jpg
 
WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA KUSAKA UHURU
Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia (Misheni kota) 6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.) 8. Jumbe Tambaza( Upanga ) 9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili) 10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande ) 11. Mshume Kiyate (Tandamti) 12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo ) 13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma) 14. Rajab Simba ( kiungani str.) 15. Waziri Mtonga (Kilosa no. 18 , Ilala) 16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala) 17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo ) 18. Usia Omari (Sungwi ,Kisarawe) 19. Sheh Issa Nasir ( Bagamoyo)View attachment 2486613
Parag...
Hilo ni Baraza la Wazee wa TANU 1957.

Waasisi wa African Association 1929: Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Rawson Watts na Raikes Kusi.

TAA Political Sub Committee 1950: Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Abdul Kleist Sykes (Secretary), Hamza Mwapachu, Steven Mhando, Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo na John Rupia.

Uongozi wa TAA Makao Makuu baada ya uchaguzi wa 1953:
J.K. Nyerere, President; Abdulwahid Sykes, Vice-President; J.P. Kasella Bantu, General Secretary; Alexander M. Tobias na Waziri Dossa Aziz, Joint Minuting Secretary; John Rupia, Treasurer na Ally K. Sykes Assistant Treasurer.

Wanakamati: Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo na Patrick Aoko.[1]

1674103075116.png

Hii ni picha ya asili na hiyo hapo chini ni picha ambayo imetiwa mkono na ''wataalamu'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kwa kumpachika Kasella Bantu katika hiyo picha:

1674103028342.png

[1] Tanganyika Standard, 19 th June 1953.
 
View attachment 2487027
Hii ni picha ya asili na hiyo hapo chini ni picha ambayo imetiwa mkono na ''wataalamu'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kwa kumpachika Kasella Bantu katika hiyo picha:

View attachment 2487026

[1] Tanganyika Standard, 19 th June 1953.
majia ya wapigania uhuru mengi ni ya waisilamu nahuo ndio ukweli wasilamu ndio waliochangia sana kwenye huhuru wa nchii ajabu kuna watu wametoka huko mapolini na ushamba wao heti waisilamu awajulikani nchi hii

baadhi ya majina ya mitaa ya dar imetwa kwa majina yao kuonyesha kwamba waisilamu nchii niwenyeji kuliko nyiyi wenye chuki zenu na ubaguzi usio kuwa na maana

ona wazee wamepambana kisha wakapa kambaage urais nyiyi mgeweza kufanya hivio? roho mbaya lakini hata huyo kambalage baada kupata alicho kuwa anakitafuta aliwageuka wezee walio muwezesha akaanza kuwapiga vita

na kuwafunga wengine wakakimbilia nchi jirani nyiyi amna maana na hizo chuki zenu chuki chuki chuki
 
Tafuta pesa upungunguze kujieleza. Dini haitakusaidia chochote.
 
Tunapowaambia kuwa muende shule kusoma huwa siku zote hatukosei kuwaelezeni ukweli. Maandiko yako hapa jukwaani yanadhibitisha kua kichwani kwako hamna shule. Hujui kuandaki, mipangalio mibovu ya lugha. Soma kwanza afu rudi kufanya mjadala wa wabobezi nguli wa historia. Kwa akili yako usiyo na shule unazani dar wapo wavaa kobazi peke yao kwanza kkoo majengo yote mmeshauza mpaka Yale yene wakfu. Dogo unataka kusema nini wewe ?
 
Ni History Tu but still watu wengine Wana chuki na history...
 
majia ya wapigania uhuru mengi ni ya waisilamu nahuo ndio ukweli wasilamu ndio waliochangia sana kwenye huhuru wa nchii ajabu kuna watu wametoka huko mapolini na ushamba wao heti waisilamu awajulikani nchi hii

baadhi ya majina ya mitaa ya dar imetwa kwa majina yao kuonyesha kwamba waisilamu nchii niwenyeji kuliko nyiyi wenye chuki zenu na ubaguzi usio kuwa na maana

ona wazee wamepambana kisha wakapa kambaage urais nyiyi mgeweza kufanya hivio? roho mbaya lakini hata huyo kambalage baada kupata alicho kuwa anakitafuta aliwageuka wezee walio muwezesha akaanza kuwapiga vita

na kuwafunga wengine wakakimbilia nchi jirani nyiyi amna maana na hizo chuki zenu chuki chuki chuki

Low minded kama wazee wako
 
the sweety history
Mjomba...
Hilo neno ''sweety'' umelileta mahali pake hapa katika historia ya TANU.

Abdul Sykes Allah alimneemesha kwa mengi na alipendeza sana kwa wengi kwa ukarimu wake kiasi marafiki zake wakampa jina, "The Sweet Abdul Sykes."

Kuna kisa cha kushangaza.

Mkewe Bi. Mwamvua bint Mrisho alipata kuniambia kuwa Abdul Sykes chumba chake cha kulala alikuwa na kabati akiweka fedha nyingi sana na kila watu wa TANU walipokuwa wanakwenda kwake kwa ajili ya matumizi ya TANU au shida zao binafsi walikuwa hawatoi mikono mitupu.

Miaka zaidi ya 55 baada ya kifo chake nilipata kumuuliza mwanae mmoja kuhusu hii kabati.

''Sisi tulipokuwa wadogo tulikuwa tunasikia kuwa chumbani kwa baba kulikuwa na box limejaa minoti chungu mzima.''

Historia ya Abdul Sykes na TANU ina mengi sana.
Tuendelee.

Vitani Burma (1942 - 1945) alikuwa Quarter Master Sergeant cheo cha mwisho kwa Mwafrika katika King's African Rifles (KAR), baada ya WWII Dar es Salaam akawa Secretary General Dar es Salaam Dockworkers Union (1948).

Secretary TAA na mjumbe wa TAA Political Subcommittee (1950).

Market Master, Acting President TAA (1951 - 1953), (Admitted to Princeton University, New Jersey 1953), Vice President TAA (1953) President Julius Nyerere.
Muasisi wa TANU kadi no. 3 (1954), mfadhili mkuu wa harakati za uhuru na mtu aliyempokea na kuishi na Mwalimu Nyerere nyumbani kwake (1955).

Prison Superintendent (Bwana Jela) 1960...akiendesha Mercedes Benz 280 SE.

1674492206380.png

Prison Superintendent

1674492427908.jpeg

King's African Rifles Burma (KAR) Burma Infantry WWII

1674494880632.jpeg

Abdul Sykes na mkewe Bi. Mwamvua bint Mrisho (Mama Daisy)
Garden Party, Government House (Ikulu) 1950s
1674492703186.jpeg

Waasisi wa TANU 1954​

Dossa Aziz alipewa lakabu (nickname) The Bank.
Huendi benki ukaambiwa tumeishiwa fedha.

Julius Nyerere yeye alipewa jina la "Mwalimu" na Bi. Titi Mohamed kwenye mkutano wa TANU Viwanja Vya Jangwani.

Bi. Titi katika moja ya hotuba zake alisema, "Huyu mwalimu."
Toka siku ile jina likashika.

TANU kulikuwa na Steven Mhando, John Keto wote walimu.
Lakini ukisikia "Mwalimu," ikawa ni Julius Kambarage Nyerere.
 
ahsante. mzee SAYID. kupitia wewe, nimejifunza masuala meengi sana. leo umeniongezea lingine. sweety abdul sykes. kwa ufupi hebu nimalizie hili, mzizima iliundwa na kunduchi, mbwamaji, na mji gani mwingine?
 
Historia hiyo siijui.
 
Back
Top Bottom