Uchaguzi 2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

Nyie ndio huwa mnaliwa na hawa wahuni, unashabikia chama cha Mbowe saccos unapata nini kwa mfano. Akili za kushikiwa na Mbowe hizi, badilikeni.
Wewe mwanamume suriali unaesubiria cheo cha mwanamume mwenzio ili upate kula embu tulia au kalale.
Nchi imepata mkombozi hakuna ujingaujinga tena wa kuachiwaachiwa mtupande vichwani.Saa ya ukombozi ni sasa
 
Kipigo Kiko pale pale, uliahidi kuhama October usikimbie jukwaani.
 
Ila Kumbuka na Wahuni Huzzeeka
 
Hakika tumeamua kukaa upande utakaoleta baada ya tarehe 28 Oktoba 2020 Uhuru , Haki na Maebdeleo ya Watu :

14 October 2020
Mara, Tanzania

Duh.! Polisi wavamia ofisi ya Esther Matiko, wakamata watu kibabe, mpambano mkali watokea


 
Kwenye ndoto ni kama ulivyoelezea keep on dreaming it is good for your health
 
Ila Kumbuka na Wahuni Huzzeeka
Hahahaha
Hakika tumeamua kukaa upande utakaoleta baada ya tarehe 28 Oktoba 2020 Uhuru , Haki na Maebdeleo ya Watu :

14 October 2020
Mara, Tanzania

Duh.! Polisi wavamia ofisi ya Esther Matiko, wakamata watu kibabe, mpambano mkali watoke

hii kitu inaleta hasira kama na sisi tuwe na vya moto tuwajibu
 
Busega, Simiyu
Tanzania

Wanajeshi wastaafu JWTZ kwa pamoja watoa tamko kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

Watoa raia atakaye shinda kihalali ktk uchaguzi mkuu wa 2020 atangazwe bila kujali vyama,
 
Naskia 'wazee' wako kile kitengo cha kuhesabu kura cha chama cha chanikiwiti wanajiandaa 'kufanya yao'
 
Ingekua keyboard warriors ndo wapiga kura pekee huyo kibaraka wenu wa mabeberu angetangazwa asubuhi tu lakini Bahati mbaya hatà robo ya wapiga kura hamfiki.
FULLCUP
Unawaita wenzior keyboard warriors wakati mwenyewe unaongea hayo ukiwa nyuma ya keyboard. Sasa wewe na hao kuna tofauti gani?
 
Akili yako ni mbofumbofu kama dp yako haiko stable..Kijana kumshabikia Dikiteta lazima una uwalakini

Kanye ulale maana baba yako anakaribia kurudi. Unaleta ujuaji na unakaa kwa baba yako
 
Kanye ulale maana baba yako anakaribia kurudi. Unaleta ujuaji na unakaa kwa baba yako
Wewe ni Lafa tu mwanamume suruali usiejitambua hujui maisha na haujui unataka nini,unakaa hapo unategemea cheo cha Magufuli ili uende chooni.Mwnaume siamama imara ila ww huwezi .Kakojoe ulale
 
FULLCUP
Unawaita wenzior keyboard warriors wakati mwenyewe unaongea hayo ukiwa nyuma ya keyboard. Sasa wewe na hao kuna tofauti gani?
Huyo ni kula kulala anaetegemea funds za Dikiteta
 
Bila katiba mpya yenye kuteua tume huru hii ndoto tu! Kenya wanatucheka sana wa TZ! Timu ichague refa alafu awape ushindi upande mwingine? Tuamke tudai katiba mpya basi!
 
Sisi wazee tunaojitambua, tunaotambua hii nchi imetoka wapi na inaelekea wapi??

Hatuwezi mchagua huyo kijana wenu Tundu Lissu ili tuwatese wajukuu zetu.
We itakuwa hutendi haki ndio mana mwogamwoga. Acheni Dhurma, tendeni haki ndio mtakuwa huru. Madhurma mnayoyafanya yanasababisha vizazi vikose baraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…