Uchaguzi 2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

Bila katiba mpya yenye kuteua tume huru hii ndoto tu! Kenya wanatucheka sana wa TZ! Timu ichague refa alafu awape ushindi upande mwingine? Tuamke tudai katiba mpya basi!
Na hawa ccm walianzisha zoezi LA katiba mpya baada ya kuona katiba haitakua upande wao wakavuruga zoezi ndomana bora tujaribu sasa kumpigia kura kwa wingi huyu anayejinasibu kubadirisha katiba pengine tutaokoka na katiba mbovu kama hii
 
Pumabavu.unajifariji kama mgonjwa aliyeahidiwa kuwa dawa ua ukimwi imepatikana.hakuna mzee mwenye akili timamu atakayemuunga mkono Lissu.Labda wazee wa huko Londo ambao wamenyang'anywa hata mgombea wao wenyewe kwa kutumia hila.
 
Umekula magimbi kwa maharagwe yasiyoiva ....

Hebu kashushe mzigo kwanza kisha uje kituandikia kwa utulivu

1.
Wazee gani

2.
Wamejiunga lini
 
Kwani stahiki zao ni Mali ya lisu we mweu kweli hiyo ipo kisheria .
 
Zama hizo za Nyerere usingethubutu kumsema mkuu kwa lolote baya at least nowadays unaweza hata kumsema Rais mpaka kumwonbea umauti hadharani! Fegi tu ilikuwa deal ukiacha dawa ya meno!
 
Vipi mzee bado una hizi hoja zako?
 
Mpumbavu utamtambua asubuhi na mapema.
 
Wewe ni kiona mbari shekhe mama ndie mwenye kigoda kichaa yupo kwenye kibanda chake kule chato utazani umbwa wa kizungu
 
Kitengo cha utekaji na utesaji sasa hivi kinashinda kinapiga miayo..kazi hakuna!!
 
2025 ni mbali wakuu. Mmh. Haya yetu macho[emoji1241]
 
Zama hizo za Nyerere usingethubutu kumsema mkuu kwa lolote baya at least nowadays unaweza hata kumsema Rais mpaka kumwonbea umauti hadharani! Fegi tu ilikuwa deal ukiacha dawa ya meno!
Hata sa hivi raisi hawezi kuthubutu kunyima uhuru wa kuongea. Ngoma draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…