NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Habari zenu wakuu,
Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23.
Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata vijana kupiga breki kwa mabinti walioolewa kwa hio kuhusu suala la show anaesimamia huwa ni mme halali. Sasa nikawa nawaza, hawa wazee wanaweza kwendana na mahitaji ya hawa mabinti?
Lakini pia tukiachana na suala zima la show, tukumbuke kwamba ndoa ni zaidi ya show, huwa kuna maisha ya ndoa ambayo mabinti wengi hupenda kuyaishi kwenye ndoa zao. Je, hawa wazee wa vizazi vilivyopita wanaweza kuendana na mambo ya mabinti wa kisasa?