Wazee watambuliwa katika katiba inayopendekezwa:

Wazee watambuliwa katika katiba inayopendekezwa:

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
IBARA YA 58.

Wazee ni hazina ya taifa letu.
Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.


Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili.


Kupitia Katiba Inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu.


TUISOME NA KUIELEWA VEMA.
 
Back
Top Bottom